Breaking News

Jumanne, 10 Novemba 2015

Wagonjwa Muhimbili wazungumzia ziara ya Rais Magufuli

Wagonjwa mbalimbali waliokuwepo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam pamoja na ngudu na jamaa zao pia walifurahia hatua ya Dk magufuli kutembelea Hospitali hiyo.

Hii ni ziara ya pili ya Rais Magufuli kwa kushtukiza katika taasisi za Serikali alianza na Wizara ya Fedha ambapo alikuta zaidi ya watumishi wanne hawapo Ofisini.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni