Breaking News

Jumatatu, 16 Novemba 2015

Stars wakwama Algeria

CHEKI VIDEO TAIFA STARS WALIVYOFANYIWA FIGISU UWANJA WA NDEGE HUKO ALGERIA, LAKINI WAKAKOMAA




Ilionekana wazi Waarabu walipanga kufanya figisu ili Stars ikwame Uwanja wa ndege kwa muda mrefu. Lakini Watanzania wakakomaa sana na kufanya mambo yaende kwa mpangilio uliotakiwa.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni