Breaking News

Jumapili, 3 Januari 2016

Magazetini leo


Mauaji ya mhubiri Saudi Arabia yazua joto


TehranImage copyrightAFP
Image captionWaandamanaji mjini Tehran waliwasha moto majengo ya ubalozi wa Saudi Arabia
Marekani imeeleza wasiwasi wake kuhusu hali eneo la Mashariki ya Kati baada ya Saudi Arabia kumuua mhubiri mashuhuri wa Kishia Sheikh Nimr al-Nimr.
Marekani imesema mauaji hayo huenda yakazidisha uhasama baina ya madhehebu mbalimbali eneo hilo. Idara ya mashauri ya kigeni ya Marekani imewahimiza viongozi wa eneo hilo kutia juhudi maradufu kupunguza mvutano.
Nchini Iran, waandamanaji waliokasirishwa na mauaji ya mhubiri huyo waliwasha moto majengo ya ubalozi wa Saudi Arabia mjini Tehran.
Aliunga mkono maandamano dhidi ya utawala wa Saudi Arabia katika mkoa wa Mashariki wenye Washia wengi mwaka 2011.
Kupitia taarifa, msemaji wa wizara ya mashauri ya kigeni ya Marekani John Kirby ametoa wito kwa serikali ya Saudi Arabia kuheshimu na kulinda haki za kibinadamu.
Aidha, ameitaka Saudi Arabia kuhakikisha kuna haki na uwazi katika uendeshaji wa kesi.
Kuuawa kwa Sheikh Nimr kulisababisha maandamano maeneo ya Washia Mashariki ya Kati, na hasa Iran na Bahrain.
SaudiImage copyrightGetty
Image captionMaandamano yalifanyika pia mjini Qatif, mkoa wa Mashariki nchini Saudi Arabia
Awali, serikali ya Iran, inayoongozwa na Washia, na ambayo ni mpinzani wa Saudi Arabia inayoongozwa na Wasunni katika kanda hiyo, ilishutumu vikali mauaji ya Sheikh Nimr.
Wizara ya mashauri ya kigeni ya Iran ilisema ufalme huo wa Kisunni utalipia kitendo hicho.
Aidha, ilimwita balozi wa Saudi Arabia mjini Tehran kulalamika.
Kwa upande wake, Saudi Arabia ililalamikia balozi wa Iran kile ilichosema ni uingiliaji kati wa Tehran katika masuala ya ndani ya Riyadh.

Ebu tujikumbushe maneno ya Marehemu Mchungaji Mtikila

Simbaya tukijikumbusha, je aliyosema Marehem Mchungaji Christopher Mtikila dhidi ya Rais Dk Magufuli yameanza kuonekana?




Rwandan Pastor Sentenced To Life Imprisonment For Genocide Crimes (Photo)

A Rwandan pastor accused of leading and coordinating attacks on minority Tutsis during Rwanda’s 1994 genocide has been jailed for life, Rwanda’s high court said on Wednesday, December 30 2015.
An estimated 800,000 ethnic Tutsis and moderate Hutus were killed by dominant Hutu forces in the genocide in 100 days.

Jumamosi, 2 Januari 2016

Toa maoni yako,Barabara za juu (Flyover roads)


Barabara za juu (Flyover roads) zinaanza kujengwa na Mjapan. Wanakisima unachukuliaje ukamilikaji wa Daraja la kigamboni ambalo Litaanz kutumika Februaly na uanzaji wa ujengwaji wa barabara hizi?
98 people like this.
Comments
Hussein H Kitambi Mji unabadilika na maendeleo yanaonekana kwa macho
LikeReply4 hrs
Mwijage Telesphory Aya sasa week 2 zilizo pita watu walisems haiwezekani ss hizo big up jp
LikeReply14 hrs
Peter Mawungulu JPM anatekeleza ya Kikwete.
LikeReply54 mins
Habari Mpya
Write a reply...
Camal Abdul Kiukweli juzi nlipita vijibweni mpaka darajani kiukweli panavutia sana..daraja ni kubwa sana na pana pia zimewekwa njia 6 nje ya daraja...!!kwa fly overs bado tuna muda mrefu wa takriban miaka 3 mbele..so tuskilizie
LikeReply23 hrs
Godfrey Mponela Mungu ibariki Tanzania yetu na Mh Rais jpm
LikeReply3 hrs
Wilson Peter Mtino Daraja la kigamboni limejengwa mbali sana,mi binafsi sijapendelea
LikeReply12 hrs
Dotto Rangimoto Chamchua uliona bora lijengwe wapi?
LikeReply1 hr
Gwakisa Mtauchila Limejengwa pale sababu ni eneo ambalo meli hazifiki tofauti na pale kivukoni ambapo meli zinapita,hivyo ingelazimu daraja lipite juu sana hivyo kuongeza gharama za ujenzi,ukumbuke kwa kiasi kikubwa hizi pesa ni msaada toka nchi wahisani.
LikeReply1 hr
Habari Mpya
Write a reply...
LikeReply2 hrs
Iddy Ally Ujenzi tu wa tazara ni miaka mitatu hadi minne kama watajenga sio mbaya ndio,twahitaji maendeleo hayo lakini maswla ya uchaguzi zanzibar yatakwamisha utekerezaji huo kwani pesa wamarekani wanatukatia kutokana na wizi wenu wa kura na maswala ya zanzibar TUTASUBILI SANA ...
LikeReply1 hr
Otto Rugage Ndo maendeleo tunayo yataka jamani.
LikeReply11 hr
Paul Ndimbo Ndg yangu Iddy Ally hizo barabara za juu zinajengwa kwa msaada wa serikali ya Japan na sio Marekani hlf hao wamarekani hizo fedha zao za msaada tumezipata kwa siku 37 tu tena pale bandarini!! je tukiingia idara kama madini na misitu mbona tutakua na fe...See More
LikeReply41 hr
Issa Ndegea UKAWA, ETI MIAKA 50 YA UHURU CCM HAIJAFAMYA KITU!!!!!
LikeReply1 hr
Respicius Richard Watu wanajadili namna ya kuanzisha viwan:a vya ndege nyie miaka hamsini mnajadili barabara???
LikeReply1 hr
Peter Mawungulu Kazi ya Kikwete, hakika nae ana mazuri yake na ipo cku tutamkumbuka.
LikeReply57 mins
Fimbo Muntu umexema kwel ndg.
LikeReply55 mins
Habari Mpya
Write a reply...
LikeReply54 mins
Cesar Saburi Uledi S'bu Tanzania itasonga tu bila hao wamarekani wala wasitutishe. Wanatuchimba bit ili wapate mianya ya kutuchonganisha wanashindwa wanakimbilia kwny kuzuia misaada cc tunataka kujijengea uwezo wa kujitegemea maana unapokosa msaada unapata mbinu mpya ya kujikwamua
LikeReply25 mins
Peter Mawungulu Cesar umenena, tuchukulie mfano Zimbabwe. Ilipewa vikwazo vya uchumi kuanzia zidera mpaka wakaishiwa lkn kale kababu kalikoma nao, kwa miaka 8 wakaanza kulegeza kamba wenyewe. Mm nawachukia marekani kiasi kwamba hapa uchama nitauweka kando na nitasimama na serikali iliyopo madarakani.