Ndugu wadau na wasomaji wa tovuti ya Habarimpya.com ,Kampuni ya Japo
Investment Network inayomiliki mtandao wa Habarimpya.com inaomba radhi
kwa mtandao huo kutokuwa hewani tangu leo asubuhi ,kutokana na sababu
ambazo ziko nje ya uwezo wetu.
Ingawa wataalum wetu wa masuala ya IT wanaendelea kutatua sababu
hizo, tumeamua kuwaletea tovuti nyingine ya
www.Habarimpya-tz.blogspot.com.
Kupitia tovuti hii mtaendelea kupata taarifa zote za muhimu kutoka
nje na ndani ya nchi, poleni sana kwa usumbufu na karibu sana.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni