Breaking News

Alhamisi, 19 Novemba 2015

Kuapishwa kwa Spika Job Ndugai

Picha za Spika Job Ndugai alivyoapishwa Dodoma leo na kiapo chake (+Audio)

on
Mbunge wa Kongwa Job Ndugai leo amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ndugai alikuwa Naibu Spika wa Bunge la 10 huku Anna Makinda akiwa spika wa bunge hilo.
Akitangaza matokeo hayo Mwenyekiti wa Bunge Andrew Chenge alisema Ndugai ameshinda baada ya kupata jumla ya kura 254 sawa na 70% kati ya kura 365 zilizopigwa.
Katika kura zilizopigwa leo na wabunge mbalimbali Ndugai alikuwa akiwania nafasi hiyo na wagombea wenzake saba huku Goodluck Ole Medeye akishika nafasi ya pili kwa kupata kura 109.
IMAG0806

IMAG0786

IMAG0798

IMAG0792
IMAG0821

IMAG0778

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni