Breaking News

Jumamosi, 7 Novemba 2015

Rais Kenyatta ameahidi kufanyakazi na Rais Magufuli

"Niliungana na Viongozi Wakuu wengine wa ki-Serikali kwenye bustani za Ikulu jijini Dar es Salaam baada ya kuapishwa kwa Rais Dk John Magufuli ambaye anakuwa kiongozi wa tano kushika wadhifa huo nchini Tanzania".

Hii ni Kauli ya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta baada ya kutoka nchini Tanzania kushuhudia tukio kihistoria la kuapishwa kwa Rais wa awamu ya tano wa Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Joseph Magufuli. 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni