Breaking News

Jumapili, 8 Novemba 2015

Mbwana Samatta mfungaji bora Afrika

MWANASOKA mahiri wa kitanzania anayekipiga katika Klabu ya Tout Puissant Mazembe (TP-Mazembe) ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) amefanikiwa kuwa mfungaji bora wa mashindano ya Klabu ya Bingwa AFrika.

                          Hii ilikuwa ni mechi ya November 4 mwaka 2015.

Mbwana Samatta mtoto wa Mbagala jijini Dar es Salaam, amefanikiwa kunyakuwa kiatu cha dhahabu baada ya kuipatia timu yake bao la kuongoza dk 75 kwa mkwaju wa penalt ,kabla ya Roger Assale kufunga bao la ushindi dk 90 wa bao 2-0 dhiti ya USM Alger.

TP-Mazembe imetawazwa mabingwa wa kombe hilo na kuweka rekodi ya kuinyakuwa kwa mara ya tano.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni