Breaking News

Jumanne, 10 Novemba 2015

Rais Magufuli akerwa na hali ya Hospitali ya Muhimbili

Rais wa Jahuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli jana alifanya ziara ya  gafla katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na kujionea madudu katika Hospitali hiyo.

Ziara hiyo ya ghafla ya Rais Magufuli pia ilibaini kutokuwepo kwa mashine za MRA pamoja na CT Scan katika hospitali hiyo huku akielezwa kwamba mashine hizo zinapatikana katika Hospitali za watu binafsi.

Hata hivyo hatua ya Dk Rais Magufuli kutembelea hospitali hiyo iliifanya Bodi ya Wakurugenzi wa Hospitali hiyo kuvunjwa huku aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi akihamishiwa katika Wizara ya Afya.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni