Huyu ni Naibu Mwanasheria Mkuu wa serikali ambaye pia aliwahi kuwa
Mjumbe wa Kamati ya Kanuni za Bunge la Katiba na Mshauri wa Mwenyekiti
wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba.
Kuna baadhi ya watu wameshangaa kusikia akipitishwa na Kamati Kuu ya CCM
kama mmoja wa wanaCCM watatu watakaopigiwa kura na wabunge wa CCM. Ni
watu wachache watakuwa waliamini kama anaweza kupitishwa kwenye tatu
bora hasa walipolinganisha na majina ya wanaCCM wengine waliochukua
fomu.
Kile alichokifanya Dk. Tulia mpaka kufika kwenye tatu bora hakina
tofauti na kile alikifanya Dk. Magufuli mpaka kufika kwenye tatu bora ya
CCM katika tiketi ya Urais wa Tanzania.
Kuna uwezekano mkubwa kuna mikono ya ''kitengo'' cha CCM/Serikali katika safari ya Dk. Tulia Ackson kama ilivyokuwa katika safari ya Rais Magufuli. Watu wa ''kitengo''
kwa sasa wanataka kuhakikisha hakuna makundi ambayo ni chanzo cha
kukidhoofisha chama na serikali kama ilivyokuwa katika utawala wa Rais
Kikwete.
Ameenda kimya kimya kuchukua fomu za kugombea Uspika kama alivyofanya Dk. Magufuli wakati akichukua fomu za Urais.
Dk. Tulia alikataa kuongea na waandishi wa habari kabla na baada ya
kuchukua fomu pamoja na waandishi wa habari kusisitiza aongee nao hata
machache baada ya kuchukua fomu. Hata Dk. Magufuli alikataa kuongea na
waandishi wa habari kabla na baada ya kuchukua fomu ya Urais.
Hana makundi ndani ya CCM ukilinganisha na wagombea wengine kama alivyokuwa Rais Magufuli wakati wa mchakato wa Urais.
Dk. Tulia alionekana kuwa cool, calm, and collected katika zoezi zima la
mchakato wa kumpata Spika pamoja na kuwa ''CCM outsider'' ukilinganisha
na wanaCCM wengine waliochukua fomu.
Kwa tell-tale signs kama hizi siwezi kushangaa kusikia amekuwa Spika wa Bunge la Tanzania.
Wahenga walisema Simba mwenda kimya(pole) ndiye mla nyama!
Breaking News
Alhamisi, 19 Novemba 2015
Dk Tulia Ackson ndiye Naibu Spika wa Bunge la 11
Dk.
Tulia Ackson amechaguliwa kuwa Naibu Spika wa Bunge la 11 la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania ambapo ameshinda kwa kura 250 sawa na asilimia
71.2% ambapo mshindani wake Mhe. Magdalena Sakaya alipata kura 101.
Idadi ya Wabunge inayotakiwa ni 394, waliosajiliwa 369, akidi ni 184 na waliohudhuria ni 351 na hakukuwa na kura iliyoharibika.
Idadi ya Wabunge inayotakiwa ni 394, waliosajiliwa 369, akidi ni 184 na waliohudhuria ni 351 na hakukuwa na kura iliyoharibika.
Majaliwa Kasim Majaliwa become the Prime Minister under the 5th Phase Government
Majaliwa Kassim Majaliwa (born 22 December 1960) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Ruangwa constituency since 2010. On the 19th of November, 2015, he was appointed by President John Magufuli to become the Prime Minister under the 5th Phase Government.[1]
He was formerly the Deputy Minister of State in the Prime Minister's Office for Regional Administration and Local Government.[2] Prior to that, he served the government at numerous posts from being a teacher posted in Lindi in 1984 to heading Lindi as the District Commissioner from 2006 - 2010.
"JPM names Kassim Majaliwa Prime Minister". THE CITIZEN. Retrieved 19 November 2015.
Template:Tanzania Prime Minister Template:Current Prime Minister
He was formerly the Deputy Minister of State in the Prime Minister's Office for Regional Administration and Local Government.[2] Prior to that, he served the government at numerous posts from being a teacher posted in Lindi in 1984 to heading Lindi as the District Commissioner from 2006 - 2010.
References
- "Member of Parliament CV". Parliament of Tanzania. Retrieved 24 February 2013.
Majaliwa Kasim Majaliwa ateuliwa Kuwa Waziri Mkuu mpya
Leo
ndio siku ambayo Spika wa Bunge atafungua Bahasha yenye jina la Waziri
Mkuu na kisha Bunge kuketi kama kikao kumpitisha ama kumkataa Waziri
Mkuu Mteule.
Tujiunge mahala hapa kwa ajili ya Updates kutoa bungeni Dodoma
- Bunge linaanza na kazi ya kwanza kuthibitisha jina la waziri mkuu. Spika anasubiriwa aseme. Bunge kimyaaaa
- Spika anatoa utaratibu wa namna ya kuthibitisha jina na kuwa itabidi mwanasheria mkuu aandae profile ya mteule ambae sasa hamjui. Hivyo itabidi bunge liahirishwe kwa muda ili akaandae profile hiyo baada ya jina kusomwa. Katibu mkuu katumwa kufuata bahasha yenye jina now
- Msigwa aomba mwongozo kutaka bunge liahirishwe maana serikali inalidhalilisha bunge kwa kusubiri bila sababu.
Mwanasheria anajibu kuwa mtoa hoja ndie anadhalilisha bunge na hivyo anaitetea serikali kuwa usiri huu wa jina ni muhimu
-Spika anasema bahasha yenye jina italetwa kwa staili mpya katika Briefcase. Kisha briefcase itafunguliwa na bahasha kutolewa na jina kusomwa. Tunaendelea kusubiri
- Spika anakumbusha leo pia kuna uchaguzi wa naibu spika. Wagombea ni wawili. Dr Tulia Mwansasu na Magdalena Sakaya
- Katibu karejea na mpambe wa Rais (ADC) anaingia na bahasha aliyotumwa na Rais kumletea Spika. Spika anafungua Bahasha tatu na anatangaza kuwa Rais amemteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu
Spika anasema barua imeandikwa na Rais kwa mkono wake mwenyewe haikuchapishwa.
Spika anasoma; '' Job Ndugai, Mh Spika, mimi mwenyewe kwa nafasi yangu kama Rais wa JMT nimemteua Mbunge wa Ruangwa mh. Majaliwa Kassim Majaliwa kuwa waziri mkuu wa JMT.''
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mh. Majaliwa Kassim Majaliwa (Mb)
*Spika amesitisha Bunge kwa muda wa dakika 45.
-Bunge limerejea. Mwanasheria mkuu ametoa wasifu wa Kassim Majaliwa, kisha wabunge wanaendelea kumuelezea Majaliwa na kuunga mkono Uteuzi wake.
-Mbunge Saed Kubenea amtaka Kangi Lugora kufuta kauli yake kuwa Kubenea alipiga makofi kumuunga mkono Majaliwa. Spika amwambia ulikuwa mzaha hivyo aendelee kuchangia. Kubenea asisitiza kuombwa msamaha. Hatimaye Kangi Lugora aamua kuyaondoa maneno aliyoyasema kuhusu Kubenea. Katibu wa Bunge anatoa mwongozo wa upigaji Kura sasa
-Masanduku ya kura yamewasili. Kura ni ndio au hapana. Wabunge wanaanza kupiga kura now
-Baada ya kupiga kura za kumthibitisha Waziri Mkuu, itafuata zoezi la uchaguzi wa Naibu spika asubuhi hii. Wagombea ni Magdalena Sakaya wa UKAWA na Dr Tulia Mwansasu wa CCM
=======
Kinachoendelea kwa sasa na wagombea wanaogombea nafasi ya unaibu spika wanaomba kura na kwa sasa ni Magdalena Sakaya kupitia CUF, amesema ana uzoefu wa uongozi kwa miaka 20, kati ya hio miaka 10 ndani ya bunge. Sakaya akijibu swali la Kairuki kuhusu kufanya kazi na spika asie wa chama chake. Amesema kila mbunge anafanya kazi kwa ajili ya watanzania kuhakikisha matarajio ya watanzania yanafikiwa bila kuangalia chama.
Gekul: Umekuwa mbunge kwa awamu tatu, mawazo katika bunge hili hayatekelezwi na serikali, utatumiaje uzoefu wako kuunganisha bunge na serikali.
Sakaya: Tunatambua na awamu mpya ya awamu ya tano, tuna sura mpya za wabunge wengu, spika na tutakuwa na sura mpya ya naibu spika. Naamini sote tukiwa imara tunaenda kuyafikia matarajio ya wananchi.
Anaefata sasa ni Tulia Ackson kupitia chama cha mapinduzi (CCM)
Tulia: Kwa taaluma mimi ni mwanasheria na nimefanya hiyo kazi kwa miaka 14, nilishiriki kutengeneza kanuni zilizoendesha bunge la katiba. Nagombea nafasi kwa sababu najiamini na nina uwezo.
Matiko: Tunatambua alikuwa naibu mwanasheria mkuu na hakupaswa kuwa mwananchama wa chama chochote, leo unaomba nafasi ya unaibu spika, ukiwa mtendaji lakini tayari unachukua upande wa CCM. Unatuaminisha vipi hautaegemea upande!
Tulia: Nilichukua fomu za kugombania uspika nikiwa naibu mwanasheria, kwa ibara ya 67(ii) na 72, anashikilia nafasi mpaka awe candidate na kuwa candidate ni mpaka upite mchakato.
Matokeo ua Uwaziri Mkuu yametoka na Bunge limempitisha rasmi Majaliwa Kassim Majaliwa kuwa Waziri mkuu kwa zaidi ya asilimia 70. Sasa Waziri Mkuu Mteule anatoa neno la shukrani. Anamshukuru Rais kwa kumteua na kusema atawatumikia watanzania wote bila kujali chama cha siasa anachotoka. Pia awashukuru wapigakura wake na wabunge pia kwa kumuamini.
Matookeo ya kura za Unaibu Spika yanasubiriwa.
Matokeo ya unaibu spika
Kura 351
Magdalena sakaya 101
Dr Tulia Mwansasu 250

Kuapishwa kwa Spika Job Ndugai
Picha za Spika Job Ndugai alivyoapishwa Dodoma leo na kiapo chake (+Audio)
By
Jesca TZA
Jesca TZA
on
Ndugai alikuwa Naibu Spika wa Bunge la 10 huku Anna Makinda akiwa spika wa bunge hilo.
Akitangaza matokeo hayo Mwenyekiti wa Bunge Andrew Chenge alisema Ndugai ameshinda baada ya kupata jumla ya kura 254 sawa na 70% kati ya kura 365 zilizopigwa.
Katika kura zilizopigwa leo na wabunge mbalimbali Ndugai alikuwa akiwania nafasi hiyo na wagombea wenzake saba huku Goodluck Ole Medeye akishika nafasi ya pili kwa kupata kura 109.
Jumatatu, 16 Novemba 2015
Moni ya mdau:Afrika kulilia Paris ni Upumbavu
Afrika Kulilia Ufaransa :Kama si unafiki ni nini? Kafiwa jirani chozi mpaka kifuani! Sijafurahia na ninalaani Mauaji ya watu wasio na hatia Ufaransa na popote Duniani, nawapa pole wafiwa na nawaambia Wafaransa mjifunze kwa hilo na mjifunze UTU. Na nachukuwa nafasi hii kuwaambia Waafrika wenzangu Tukome kujipendekeza!
Unajua kwamba, Wafaransa wamewakalia na kuua mamilioni ya waafrika, waliiba na kuharibu mali, Ardhi na kuua wanyama.
Katika vita ya Uhuru wafaransa waliwaua wa Algeria zaidi ya Milioni moja, Dunia haiumii wala haizungumzii hilo.
Watu wa dunia ya leo wakiwepo baadhi ya waafrika wenzetu wameshikwa na uchungu sana, wanatuma ujumbe kuwa Mwafrika si Binadamu mwenye thamani sawa na wafaransa waliouawa.
Dunia inajua kuwa wafaransa hawa wanashirikiana na Marekani kupiga mabomu Afrika ya kaskazini na Mashariki ya kati, kuvamia na kuua nchini Mali na Jamhuri ya Afrika ya Kati. Lakini Dunia haisikii uchungu.

Wafaransa hawa walipokuwa wanaondoka kuziacha nchi za Afrika walichukua mali zao zote na kuharibu kila kitu ambacho walikiweka; Shule, majengo, walichoma magari, vitabu, dawa, tafiti. Waliangamiza wanyama kama farasi, ng'ombe na kuharibu mashamba na chakula cha kwenye maghala kwa sumu na moto. Pamoja na roho mbaya hii yote nchi 14 za Afrika zilizotawaliwa na Mbwa hawa bado zinaendelea kulipa kodi ya UKOLONI kwa Ufaransa tangu uhuru wao mpaka leo!
'Ashakum si matusi'
Mbona siwaoni waafrika wenzangu kushtuka na kulaani haya, hawa mabwana Magharibi wametuloga na uchwai gani? Walianza kuchezea Konzi za Dada zetu, wameshika migongo ya Mama zetu tunawachekea, wamewaua Baba zetu, leo tunaacha kuomboleza misiba yetu waliyotuachia tunawaombolezea wao kwa kwakushusha Suruali zetu nusu mlingoti, tukitiwa Ujiti hadharani tutaficha wapi nyuso zetu?

Na
Maembe Vitali
Maembe Vitali
Jumapili, 15 Novemba 2015
10 Things Every Woman Must Know About Her v**ina
Let’s have a little chat, shall we?
The v**ina is a truly amazing body part. It brings babies into the world, somehow rebounding to do it all over again. It gives us pleasure and is just generally the core of our womanhood (pun 100% intended). So it stands to reason that we as women should all be very familiar with our vaginas. To that end, here are 10 facts every woman should know about her lady parts.
1. Your clitoris is kind of like an iceberg. There’s a lot more going on beneath the surface that you can’t see. The visible gland that can be externally stimulated is accompanied by the corpora cavernosa, two sections of erectile tissue that form an inverted V moving down from the top of the clitoris into the crura, or ‘legs’.
2. Douching isn’t necessary. Women who prefer to douche report feeling cleaner and fresher, but there are problems. The act can lead to vaginal infections (as the douche disturbs the balance of natural bacteria in the v**ina), complications during pregnancy, Pelvic Inflammatory Disease, and even cervical cancer. Most doctors caution against douching.
3. V**inas keep themselves clean. Seriously, douching isn’t necessary, as every healthy v**ina ‘cleans’ itself via vaginal discharge. Unless you are experiencing a particularly heavy or oddly smelling discharge, you are fine and perfectly normal. (If, on the other hand, you think something is off with the health of your v**ina, go check in with your OB/GYN.)
4. It’s a physical impossibility to lose anything in your v**ina. An un-dilated cervix (the entrance to the uterus) keeps stray objects from entering your uterus. Yes, a tampon or condom might get up high enough that you can’t reach it on your own, but your doctor will always be able to fish it out (yay for speculums!).
5. Several factors REALLY impact your natural vaginal lubrication. Chief among them is birth control, breastfeeding and menopause. Why, you ask? It all comes down to estrogen levels, which can be effected by, you guessed it, birth control, breastfeeding and menopause. The lower your estrogen levels, the harder it can be for your v**ina to lubricate itself.
6. There is an unfortunate condition called Vulvodynia. This condition, described by ACOG as the “chronic (long-lasting) pain and discomfort of the vulva that is not caused by an infection, skin disease, or cancer”, leads to painful intercourse. The pain can be generalized or localized, and affects about 16% of sexually active women.
8. Condoms will only protect your lady parts from so much. Condoms are great for preventing pregnancy and the transmission of most STDs, but all Herpes and HPV (IHV) require is skin-to-skin contact. Lesson? Always, always, make sure your partner is clean.
9. Cranberry juice is your best friend. Studies have found that cranberry juice can not only cure but also inhibit UTIs. So, drink up!
10. Women are born with a finite amount of eggs. Unlike men, who can produce sperm until the cows come home, women are born with a set amount of eggs. Every woman is born with roughly one million immature eggs (follicles), and only a portion of them are ovulated over the course of a woman’s life.
yourtango.com
4 Things You Should Never Do To A Woman
A woman is one of the most flexible set of beings. There are things you should not do to them, otherwise you put her in the mood. If you misinterpret this message as “Things to do to put a woman in the mood” na oyo.
1. Never Create a Unique s3x bedroom – lightening candles, cool music, and glass of wine. This is very dangerous, as it can easily make her go volatile.
2. Getting Her Seductive Outfits. S3xy outfits can remind her how s3xually endowed she is. By getting her some of those s3x-appealing dresses, you remind her that she is appetizing, and sumptuous.
3. Sensual touches also, is unavoidable. A woman hardly escapes it. A masterful way to begin pre-intimacy, without focusing on s3x but on emotional connection, is by giving her a sensual massage. This may not just end up well, it started as a gentle unserious play, but will likely end up as something profound (hope you understand what I mean).
4. Kissing Her: Kissing a woman is very sensitive. It is a powerful s3x arousal tool. If you don’t want anything to happen, avoid kisses. It may be casual kiss or peck…whatever, it may not come out fine.
Six Ways To Prevent HIV Without C0nd0m Finally Revealed
As HIV becomes a growing threat around the world, people want access to information that can help them to avoid this potentially deadly disease. Medical experts have indicated that co ndoms can be a good way to prevent an HIV infection, but there are other steps you can take to reduce your chances of contracting HIV.
#1:. Abstain The most effective way to not contract HIV is to not have s’ex with anyone until you are prepared to get married. When the time comes, you and your significant other can get the tests done to determine your HIV status, and then make the informed decision that will affect the rest of your lives.
#2:. Be selective on your s’exual partners When you find someone who you have strong feelings for, it is important to have an open discussion about HIV prior to having s’ex. If you are extremely selective about the partners you choose, then you can significantly reduce your chances of contracting HIV.
3:. Consider monogamy One of the surest ways to prevent HIV if you want to remain s’exually active is to be monogamous with someone who is not HIV positive.
#4:. Use only sterile medical equipment Whether you are giving yourself a shot of medication at home or getting an injection from a medical facility, always insist on making sure that the needle is sterile. Avoid previously used needles when you are injecting medication, or when you are getting medical treatment.
#5:. Insist on tested blood If you ever need a blood transfusion, then insist on only using blood that has been
tested for the HIV and AIDS viruses.
tested for the HIV and AIDS viruses.
#6:. Get yourself tested If you get yourself into the habit of being tested for HIV a couple of times a year, then it becomes easier to insist that your s’exual partners do the same. If you do decide to have s’ex with multiple partners throughout the year, then you should insist that they take the same steps you do in getting tested for HIV and having those results with them to show you. It seems extreme, but it is much better than the alternative.
#7:Get treated for HIV immediately If you had s’ex with someone and start to feel flu-like symptoms soon afterwards, then get tested immediately. The newer HIV medications being used can actually help to stop the infection if it is caught soon enough. The sooner you get tested, the better your chances of stopping the infection.
Source: Nairaland
Minister Caught Red-Handed With Swazi King’s Wife In Hotel
Remember the Swaziland King Mswati III who chooses a wife annually after testing the virginity status of topless dancing girls ? There was a scandal that rocked the Swazi palace. It involved his twelfth wife, Queen LaDube, formerly Nothando Dube, who was caught in a hotel room with King Mswati III’s childhood friend, Ndumiso C. Mamba, who was also a minister of Justice in Swaziland.
After the embarrassing story went viral, the photos were banned from Swaziland press but South African press had got a good grab and wouldn’t let go.
In order to avoid being caught, the 22 year old 12th wife LaDube often sneaked out of the palace dressed in military uniform, pretending to be a soldier to meet with her lover who himself is also married.
According to reports, dozens of investigative state security agents who were monitoring the affair, stormed the Royal Villas where the couple had their ”love nest”. The Royal Villas is a luxury hotel owned by King Mswati III about 10 km west of his Lozitha Palace.

Mamba who caught the wind of an imminent danger, cut through the base of the bed and slipped under with the speed of a lightening in order to evade arrest and possible grave consequences of being caught.
But, he couldn’t get away. Security officials fished him out of his hideout and immediately arrested him.
After the affair was exposed, Mamba who was accused of extravagant spending on foreign journeys, resigned from the ministry .
Mamba,who was reportedly, charged with “trespassing into another man’s home” was placed under house arrest and nothing has been heard about him since. There are reports that he was exiled from the kingdom. On her own part, the queen was reportedly placed on 24-hour watch and made to live with the king’s mother, until she or her husband dies.
According to the South African Press Association, a palace source, whose identity remained undisclosed said, “For many months, the inkhosikati [queen] would dress in an army uniform whenever the king was not around.
“She allegedly got into her room and changed into her uniform and walked straight to the gate and no one bothered to ask where was this soldier going. In no time a car was there to pick the ‘officer’ up and whisked her to Royal Villas.” Source Chrislog.com
Paris attack ,IS is behind the attack
After the horrific coordinated attacks which killed innocent civilians in Paris, ISIS has claimed responsibility for gunfire and blasts that targeted six sites in Paris, killing more than 128 people.
In an online statement distributed by supporters, the terror group said eight militants wearing explosive belts and armed with machine guns attacked precisely selected areas in the French capital.
- See more at: http://212flash.com/isis-claims-responsibility-for-paris-attacks-which-left-128-dead/#sthash.TiyCpPJE.dpuf
Tujikumbushe uzembe wa mabeki wa Stars
Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars jana ilishindwa kutumia uwanja wake wa nyumbani baada ya kulazimishwa sare ya mbao 2-2 dhiti ya Algeria kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Tanzania ambayo ilianza kusaka ushindi kwa nguvu zote ilishindwa kutumia nafasi za wazi zaidi ya 15 baada ya washambuliaji wake Mbwana Samatta, Thomas Ulimwengu ,Elias Maguli kukosa umakini katika lango la wapinzani.
Hata hivyo goli la dk 40 lilofungwa na maguli na dk 60 iliyofungwa na Samatta ilitosha kuifanya timu hiyo kutawala mpira, kabla ya makosa ya mabeki kuruhusu magoli 2 ndani ya dk 5, na kuifanya Algeria kusawazisha mabao yote na kubali ubao wa matangazo kuwa 2-2.

Alhamisi, 12 Novemba 2015
Kimenuka Simba,Matola abwaga manyanga
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM
KOCHA Msaidizi wa Simba SC, Suleiman Abdallah Matola amejiuzulu nafasi hiyo kutokana na kile alichodai kutolelewana na Kocha Mkuu, Muingereza, Dylan Kerr.
Akizungumza na BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE usiku huu, Matola amesema kwamba amefikia uamuzi huo baada ya kuona maelewano na bosi wake huyo yanazidi kuwa magumu kila kukicha.
“Ni jambo la muda mrefu, huyu kocha hasikilizi ushauri wangu, imefikia sasa ananichukia na kazi haziendi tena. Sasa nimeona ili kuepusha matatizo zaidi, nimuachie yeye timu,”amesema Matola.
Matola amesema kwamba haoni mwelekeo wowote mzuri kwa Simba SC chini ya kocha huyu Muingereza ambaye hasikilizi ushauri, ndiyo maana ameamua kujitoa.
“Nimekutana na uongozi, nimewaambia juu ya uamuzi wangu, wakanisihi sana nisifanye hivyo, lakini nikashikilia msimamo wangu. Wakaniambia hata nirudi kufanya kazi timu za vijana, lakini nikawaambia nitajifikiria kwanza,”amesema Matola.
Juhudi za kumpata Kerr kuzungumzia suala hilo hazikufanikiwa na hakuna kiongozi wa Simba SC aliyepatikana mapema jioni hii kuelezea sakata hilo.
Historia ya Matola ndani ya Simba SC inaanzia mwaka 2000 alipojiunga nayo kama mchezaji akitokea Kagera Stars (sasa Kagera Sugar) na aliichezea timu hiyo hadi mwaka 2005 alipohamia Super Sport United ya Afrika Kusini.
Matola alirejea Simba SC mwaka 2007 na kucheza kwa msimu mmoja kabla ya kustaafu moja kwa moja.
Kuanzia mwaka 2010 amekuwa kocha wa timu za vijana za Simba SC ambako baada ya kufanya vizuri akapandishwa kuwa Kocha Msaidizi, akianza kufanya kazi na Mcroatia Zdravko Logarusic, baadaye Mzambia, Patrick Phiri, Mserbia, Goran Koponovic na huyu wa sasa Kerr.
Haijawahi kutokea Matola akatofautiana na kocha yeyote kati aliyofanya nao kazi awali – na Muingereza huyu anakuwa wa kwanza kutofautiana na Nahodha wa zamani wa Simba SC.

Suleiman Matola (kulia) ameachia ngazi Simba SC baada ya kutofautiana na bosi wake, Dylan Kerr (kushoto) |

Jumatano, 11 Novemba 2015
Kansiime ndani ya Kigali Rwanda
Kama ilivyo kwaida ya tovuti ya Habarimpya.com kukujali wewe msomaji wake, ratiba ya tovuti yetu kwa sasa ni kukupatia burudani.
Bila shaka utakuwa umewahi kumsikia ama kumtizama mchekeshaji mweye vituko kila kukicha nchini Uganda, Anne Kansiime, na kama haujawai basi huu ni wakati wako mwafaka wa kuburudika na vituko vyake. hiii ndiyo kazi yake mpya akiwa Mjini Kigali nchini RwandA. June mwaka 2015.
Kazi imeanza Muhimbili
Siku moja baada ya Rais Dk. John Magufuli, kufanya ziara ya kushtukiza Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam, hali imebadilika ghafla ambapo huduma za matibabu zimeanza kutolewa haraka na kwa ufanisi.
Aidha, uongozi wa hospitali hiyo umeanza kufanya mazungumzo na kampuni ya Philips kutengeneza mashine mbili za CT-Scan na MRI za vipimo mbalimbali vya magonjwa.
Juzi, Rais Dk. Magufuli alivamia ghafla hospitalini hapo kisha kumuondoa aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, Hussein Kidanto pamoja na kuivunja Bodi ya Hospitali baada ya kutoridhishwa na utendaji wao wa kazi.
Nafasi yake imechukuliwa na Profesa Lawrance Mseru, ambaye alianza kazi hiyo jana saa 4:00 kwa kufanya vikao na Menejimenti na Kamati Tendaji ya Hospitali.
KUANZA KUKARABATI MASHINE
Akizungumza na Nipashe, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano cha Muhimbili, Aminiel Aligaesha, alisema uongozi wa hospitali hiyo umeanza kufanya mazungunzo na kampuni ya Philips kwa ajili ya kutengeneza mashine zilizoharibika. Alisema kazi hiyo itafanyika hivi karibuni baada ya wataalam wa kampuni hiyo kuwasili kwa kazi hiyo.
Alisema wana matumaini ya mashine hizo kufanya kazi kwa muda waliopewa na Rais Magufuli. “Tutakamilisha kazi hii ndani ya kipindi tulichopewa, tunachofanya sasa ni kuzungumza na kampuni husika waje kuzitengeneza ili tuanze kutoa huduma haraka kwa wagonjwa,” alisema Aligaesha.
PROFESA MSERU AANZA KAZI
Akizungumzia Mkurugenzi mpya, Aligaesha alisema kwamba Profeza Mseru aliripoti jana saa 4:00 asubuhi na kuitisha vikao mbalimbali kwa ajili ya kujua utendaji kazi wa hospitali hiyo. Alisema baada ya kukamilisha kazi ya kukutana na makundi mbalimbali ya wafanyakazi, atazungumza na vyombo vya habari kuelezea kazi yake hiyo mpya.
HALI ILIVYO SASA
Gazeti hili liliwashuhudia madaktari, wauguzi na wafanyakazi wengine wa hospitali hiyo wakifanya kazi kwa kasi tofauti na siku za nyuma. Wodi nyingi zilionekana kuwa na madaktari muda wote, kitu ambacho wagonjwa walieleza kwamba kimewafurahisha.
Hata hivyo, katika daftari la mahudhurio, imeelezwa madaktari bingwa kwa mara ya kwanza wamejihorodhesha mapema asubuhi. “Ninachokuambia leo ni mchakamchaka kila mtu anawajibika, kwa mara ya kwanza madaktari bingwa wamesaini daftari la maudhurio,” alisema mmoja wa wafanyakazi hao.
AGIZO LA MAGUFULI LATEKELEZWA
Mgonjwa Chacha Makange, ambaye Rais Magufuli aliagiza apatiwe matibabu pamoja na vipimo, alisema ndani ya dakika sita zimebadilisha maisha yake na wagonjwa wengine.
Chacha ambaye anafahamika kutokana na kuishi ndani ya handaki kwa miaka mitano maeneo ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, alisema jana alipatiwa vipimo katika kituo binafsi cha kupimia magonjwa cha Besta kilichopo Kinondoni jijini Dar es Salaam. Alisema anamshukuru Mungu kumkutanisha na Rais Magufuli na kusababisha maisha yake kubadilika ghafla.
Chacha alisema alipomuona Dk. Magufuli, alimuomba aongee naye dakika tano, lakini Rais alimpa dakika moja ya kuzungumza. Hata hivyo, baada ya kuguswa na matatizo yake, kiongozi huyo alimuongezea dakika nyingine tano na kuwa sita ambazo hatimaye zilibadilisha mfumo mzima wa Hospitali ya Taifa Muhimbili.
“Nilipoanza kuongea, Rais aliguswa, aliniangalia na kuniambia niendelee, nilitumia dakika sita kueleza matatizo yetu, namshukuru Mungu amepanga haya yote yatokee kwa ajili ya Watanzania,” alisema Chacha. Aliomba jamii ishirikiane katika kufarijiana na kusema bila hiyo hakuna upendo wa kweli.
Kwa upande wa Mkurugenzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI), Dk. Othman Kiloloma, alisema mgonjwa huyo amefanyiwa vipimo vyote na kitu kilichobaki ni kuvisoma na kumpatia tiba sahihi.
Alisema Chacha anasumbuliwa na matatizo ya mgongo, hivyo matibabu yake yananahitaji umakini na muda mrefu.
“Tumetekeleza agizo la Rais, leo (jana) tulimpeleka mgonjwa katika vipimo vyote, tunachoangalia hapa ni kufanya matibabu yake yanayoendana na matatizo aliyokuwa nayo,” alisema Dk. Kaloloma.
Akizungumzia tatizo la wagonjwa kulala chini, Dk. Kaloloma alisema litaondoka baada ya kufunguliwa kwa jengo jipya kutokana na wodi zilizopo kutohimili idadi kubwa ya watu wanaohitaji kupata huduma.
NIPASHE
Mkenya alihusika kampeni za Lowassa
JESHI la Polisi Jijini Dar es Salaam kwa kushirikiana na Idara ya ya Uhamiaji inaendelea kumchunguza mtu aliyekamatwa na hati za uraia wa nchi mbili, anayedaiwa kuwa mwanaharakati wa siasa katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo. Anaandika Faki Sosi … (endelea).
Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova amesema mtu huyo aliyetambulika kwa jina la Bashiri Fenele Awale Ally, amekamatwa kutokana na utata wa uraia wake na jinsi ambavyo alivyokuwa akijihusisha na masuala ya siasa nchi Tanzania.
Kamanda Kova amesama kuwa mtuhumiwa huyo mwenye hati ya kuzaliwa ya Tanzania yenye namba D063711 kwa jina la Bashiri Abdi Ally ambapo ilionyesha kuwa amezaliwa Julai 11, 1969 katika hospitali ya Dodoma.
Lakini pia mtuhumiwa huyo amekamatwa na pasi ya kusafiria ya Kenya yenye namba C000529 ambapo ilionyesha kuwa alizaliwa Nairobi Kenya Julai 11, 1969 kwa jina la Bashir Fenal Abdi Ally Awadhi.
“Kwa uchunguzi wa awali pamoja na kumbukumbu zenye utata mtuhumiwa mtajwa sio raia wa Tanzania bali ni raia wa Kenya ambaye alipeleka maombi idara ya uhamiaji lakini bado hajakubaliwa,” amesema Kamanda Kova.
Wakati huohuo, Kamanda Kova amesema jeshi hilo limekamata waharifu saba wakiwa bunduki aina ya SMG moja, bastola sita na bunduki aina ya Mark 4 Riffle moja na risasi 62.
Kamanda Kova amesema waharifu hao ambao wana viashiria vya ugaidi walipanga kuvamia vituo vya polisi lakini kabla hawajatekeleza mipango yao wamekamatwa.
Kova amesema kuwa mpaka sasa jumla ya majambazi wanahusishwa na ugaidi wamefikia 74, wamekamatwa ikiwa pamoja na silaha 51 na risasi 890 za silaha mbalimbali.
Msaidizi wa Lowassa Mbaroni
Mwanamkakati wa aliyekuwa mgombea wa urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Bashir Awale, amekamatwa na kuwekwa ndani katika Kituo cha Polisi cha Kati.
Habari zilizopatikana jana kutoka ndani ya timu ya kampeni ya mgombea wa Chadema, Edward Lowassa, zinasema kuwa Awale alikamatwa juzi jioni kwenye maeneo ya Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Taarifa zaidi zinasema kuwa Awale alisimamamishwa na askari, ambao walimchukua kwenye gari lao huku wakilitelekeza gari lake kwenye maeneo hayo.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova, aliliambia Nipashe atalizungumzia suala hilo leo pamoja na mambo mengine.
“Nimewaagiza vijana wangu waniandalie taarifa juu ya suala hilo. Nitalizungumzia jambo hilo kesho (leo) pamoja na mambo na mengine,” alieleza Kamishna Kova, ambaye hakutaka kuingia kwa undani wakati alipohojiwa na gazeti hili kuhusiana na suala hilo.
Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili unaonyesha kwamba kukamatwa kwa Awale kunahusishwa na masuala ya Uchaguzi Mkuu uliomalizika hivi karibuni kutokana na ukaribu wake na Lowassa.
Lowassa alishindwa kwenye uchaguzi wa urais baada ya kushika nafasi ya pili kwa kupata kura 6,072, 848 sawa na asilimia 39.97 wakati mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli aliibuka mshindi kwa kupata kura 8,882,935 sawa na asilimia 58.46.
Awale alikuwa miongoni mwa viongozi waandamizi kwenye timu ya kampeni ya Lowassa tangu wakati alipokuwa mwanachama wa CCM.
Lowassa alipoachana na CCM na kujiunga na Chadema, Julai 28 mwaka huu, Awale alikuwa miongoni mwa watu waliofuatana naye.
Awale alikuwa miongoni mwa watu waliofuatana Lowassa siku anatambulishwa na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, baada ya kujiunga rasmi na chama hicho.
Kabla ya kuingia kwenye masuala ya siasa, Awale alikuwa Ofisa Mkuu Mtendaji wa Benki ya Stanbic nchini Tanzania kabla ya kuachia ngazi mwaka 2013.
Aliiongoza benki ya Stanbic kuanzia mwaka 2006, lakini kabla ya hapo alikuwa akifanya kazi katika Benki ya Citibank.
Tangu alipoachana na Stanbic, Awale alikuwa miongoni mwa wanamkakati waandamizi wa Lowassa tangu alipokuwa akiwania kugombea urais kwa tiketi ya CCM.
Lowassa alipokatwa jina lake CCM na kujiunga na Chadema, Awale alikuwamo kwenye timu ya kampeni akiwa miongoni mwa viongozi waandamizi.
Pamoja na kuwemo kwenye timu ya kampeni, pia ni anachukuliwa kama miongoni mwa wasaidizi na washauri muhimu wa Lowassa.
Kukamatwa kwa Awale kunakuja baada ya hivi karibuni vijana wanane waliokuwa wakisaidia kazi ya kujumlisha kura za Lowassa kwenye kituo cha vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kukamatwa na kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za kujumlisha matokeo ya kura za urais katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25, mwaka huu.
NIPASHE
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)