Hadi sasa tumepokea 60%ya vituo na kote CHADEMA inaongoza kwa mbali.Ni wazi LEMA ameshinda tena Arusha mjini.
JINA LA KATA.... LEVOLOSI.
JINA LA KITUO.... SHULE YA MSINGI LEVOLOSI -3
KuraCHADEMA...100
KuraCCM...48
KuraACT.... 0
KuraCUF.... 0
KuraNRA.... 0
Kura zilizoharibika- ...0
JINA LA KATA.....levolosi
JINA LA KITUO........shule ya msing levolosi 2
KuraCHADEMA... 108
KuraCCM.... 51
KuraACT.... 00
KuraCUF.... 00
KuraNRA.... 01
Kura zilizoharibika.....00
Jumla kuu..... 160
Kituo cha ufundi arusha kata ya levolosi Kituo namba 4,chadema kura 72, ccm kura 27,
act kura 1,idadi ya kura Sombetini
Chadema 73, ccm 62
Chadema 79, ccm 42
Chadema 88, ccm 49
Chadema 106, ccm 37
Chadema 64, ccm 63
Chadema 102, ccm 61
Chadema 6 , ccm 68
Chadema 69, ccm 56
Chadema 76, ccm 36
Chadema 74, ccm51
Chadema 73, ccm 56
Mtaa wa Oloresho kata ya Olasiti:
Kituo no 1:
CHADEMA: 110
CCM: 62
Kata ya engutoto kituo cha Uflo 1 cdm 64 ccm 30 act 2 nra 0
Olasiti kati 2 CHAdema 112 ccm 77
: Mpambano ni mkali olkreyan 05 kituo ccm 68
Chadema 72
Kimindoros 1chadema 101 ccm 37
Mashine Mbili/Navaranan Kituo Na. 2; CDM 104, CCM 46. Melamari, Kituo Na. 4; CDM 124 CCM 40. Chemchem B, Chumba Na. 1; CDM 94 CCM 37.
Kata ya Olasiti kati
Kituo no. 2:
CHAdema: 112
CCM: 77
Kata ya Olasiti mtaa wa Kimindoros kituo no:1
CHADEMA:101
CCM: 37
Kata ya SAKINA; ChemChem A Kituo Na. 4. CDM: 91 CCM : 41, Uwanja wa Mila; Kituo Na. 3; CDM: 98 CCM: 68, Mashine Mbili, Kituo Na. 4: CDM 71 CCM 61. Kituo Na. 1 CDM: 92 CCM 54,
Mtaa wa Oloresho kata ya Olasiti:
Kituo no 2:
Mtaa wa Oloresho kata ya Olasiti:
Kituo no 1:
CHADEMA: 104
CCM: 63
Mkumbuke Oloresho ni typical wamasai
Kata ya Osunyai
Kituo cha Zahanati no 2.
CHADEMA: 114
CCM: 47
Chadema 102
CCM 85
Kituo cha no. 7
Ofisi ya mtendaji kata ya sokoni1
ChemChem A;Kituo Na. 2, CDM 121 CCM 25. Kiwanja Cha Mila, Kituo Na. 1; CDM 94 CCM 69, Kituo Na. 4; CDM 94 59. Chemchem B, Kituo 4; CDM 74 CCM 39. Chemchem B, Kituo Na. 3, CDM 128 CCM 90. Melamari, Kituo Na. 2; CDM 105, CCM53. Mashine Mbili; Kituo Na. 5, CDM 79 CCM 51. Fantastic, Kituo Na. 3, CDM 114, CCM 88. Giriki, Kituo Na. 1, CDM 117 CCM 84. Giriki, Kituo Na. 2, CDM 120 CCM 88.
Kituo namba 4 CHAdema 74 ccm 54
Kata ya levolosi shule ya msingi ccm51, cdm 108, act0, cuf0, nra1, jumla kuu 160
Engutoto, kituo cha shule ya msingi3 cdm 72, ccm 47, act 1
Mashine mbili,kituo namba mbili chadema104 ccm47
"JINA LA KATA.... LEVOLOSI.
JINA LA KITUO.... SHULE YA MSINGI LEVOLOSI -3
KuraCHADEMA...100
KuraCCM...48
KuraACT.... 0
KuraCUF.... 0
KuraNRA.... 0
Kura zilizoharibika- ...0
JINA LA KATA.....levolosi
JINA LA KITUO........shule ya msing levolosi 2
KuraCHADEMA... 108
KuraCCM.... 51
KuraACT.... 00
KuraCUF.... 00
KuraNRA.... 01
Kura zilizoharibika.....00
Jumla kuu..... 160
Kituo cha ufundi arusha kata ya levolosi Kituo namba 4,chadema kura 72, ccm kura 27, act kura 1,idadi ya kura zilizopigwa 101, iliyo haribika ni 1
Serikali ya Marekani imeshauri Raia wake walio nchini Burundi kuondoka nchini humo haraka iwezekanavyo baada ya watu 87 kuuawa kwenye ghasia zilizotokea siku ya Ijumaa.
Ghasia zilizojitokeza kwenye mitaa ya mji mkuu wa nchi hiyo, Bujumbura ni mbaya zaidi tangu kuanza kwa vurugu mwezi Aprili baada ya Rais Pierre Nkurunziza kuamua kuwania tena urais kwa muhula wa tatu.
Shirika la kutetea haki za kibinadamu la Human Rights Watch (HRW) limeitisha uchunguzi kuhusu mauaji hayo ya Ijumaa.
Mwezi uliopita, Ubelgiji pia iliwashauri raia wake kuondoka Burundi, huku Muungano wa Ulaya (EU) nao ukipunguza wahudumu wake, kwa kuondoa wafanyakazi ambao ni wa muda, "familia na wafanyakazi ambao si muhimu sana."
"Kufuatia machafuko ambayo yanaendelea kuongezeka, Wizara ya Kigeni imeagiza kuondoka kwa jamaa za maafisa wa Marekani na maafisa ambao si wa kushughulikia dharura nchini Burundi," taarifa ya Marekani ilisema.
"Ubalozi wa Marekani unaweza kutoa huduma za dharura kwa kiwango cha chini tu kwa raia wake nchini Burundi."
Jamhuri ya Burundi
Mji Mkuu: Bujumbura
- Milioni 10.4 Idadi ya watu - sawa na Ubelgiji
- Kilomita mraba 27,816 Ukubwa - sawa na Haiti
- Miaka 50 Muda wa kuishi kwa wanaume
- Miaka 50 Muda wa kuishi kwa wanawake
- $900 GDP - sawa na Liberia
GETTY IMAGES
Jijini Nairobi, wanaharakati Jumapili jioni waliwakusanya vijana kutoka Burundi, Kenya na nchi nyingine za Afrika Mashariki jijini Nairobi kwa ajili ya mkesha na kuwasha mishumaa kuwakumbuka Raia wa Burundi walioathirika kutokana na mzozo wa kisiasa nchini mwao.
Aidha, walitoa wito kwa jamii ya kimataifa kuingilia kati.